Svoboda | Graniru | BBC Russia | Golosameriki | Facebook
Nenda kwa yaliyomo

Uovu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uovu (kwa Kiingereza: iniquity) ni ubaya wa kimaadili unaomfanya mtu atende kwa makusudi mambo mabaya katika maisha yake na katika jamii.

Katika dini, hali hiyo inaweza ikatokea kwa sababu ya kushupaa katika dhambi bila kukubali toba.