Svoboda | Graniru | BBC Russia | Golosameriki | Facebook

Dulse Pontes, kwa jina la awali Maria Rita de Souza Pontes (Salvador, Bahia, Brazil, 26 Mei 1914 – Salvador, 13 Mei 1992) alikuwa mtawa Mfransisko ambaye alianzisha taasisi kwa ajili ya fukara.

Mt. Dulse

Alitangazwa na Papa Benedikto XVI kuwa mwenye heri tarehe 22 Mei 2011[1][2], halafu Papa Fransisko alimtangaza mtakatifu tarehe 13 Oktoba 2019[3], akiwa mwanamke wa kwanza kutoka Brazil.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[4].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. "Pope advances sainthood causes, including Brazil's 'Mother Teresa'". Catholic Philly. Iliwekwa mnamo 14 Mei 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Pope advances sainthood causes, including Brazil's 'Mother Teresa'". www.catholicnews.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-05-14. Iliwekwa mnamo 14 Mei 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Dulce Lopes Pontes: From serving the sick to Nobel nominee, Vatican News (October 2019).
  4. Martyrologium Romanum

Marejeo

hariri
  • Gaetano Passareli: Irmã Dulce, o Anjo Bom da Bahia (Editora Record; ISBN|85-01-06654-0)
  • Nathan A Haverstock: Give us this day; the story of Sister Dulce, the angel of Bahia (Appleton-Century)

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.