Svoboda | Graniru | BBC Russia | Golosameriki | Facebook

Tiwi ni kata ya kaunti ya Kwale, eneo bunge la Matuga, nchini Kenya[1].

Tiwi ni makazi madogo na ya mapumziko yaliyoko pwani,[2] kaskazini mwa ufukwe wa Diani, takribani kilomita 17 kusini mwa Mombasa.[3]

Eneo limehudumiwa na uwanja wa ndege wa Ukunda uliopo barabara ya A14.

Historia

hariri

Kulikuwa mahali pa makazi ya Waswahili wa kale katika pwani ya kusini ya Kenya kwenye Bahari ya Hindi.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency Archived Septemba 29, 2007, at the Wayback Machine
  2. "Kenya Safari: Expert Advice & Custom Trips – Why Go". www.go2africa.com. Iliwekwa mnamo 2022-08-11.
  3. http://www.kilimanjaro.com/airlines/airkenya/schedule.htm