Svoboda | Graniru | BBC Russia | Golosameriki | Facebook
Transfiguration pending
Nenda kwa yaliyomo

Mama wa Mungu wa Vladimir

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha takatifu ilivyo leo.

Mama wa Mungu wa Vladimir ni picha takatifu maarufu ya mtindo wa Eleusa; inamuonyesha Bikira Maria akimpakata mtoto Yesu, nyuso zao zikigusana.[1].

Mchoro asili ulifanywa na msanii asiyejulikana katika karne ya 12, labda Konstantinopoli mwaka 1131. Kutokana na vituko vya historia ulitengenezwa upya mara tano.

Kwa sasa unatunzwa katika Tretyakov Gallery, Moscow, Urusi.

  1. The icon handbook: a guide to understanding icons and the liturgy by David Coomler 1995 ISBN 0-87243-210-6 page 203.

Marejeo mengine

[hariri | hariri chanzo]
  • Beckwith, John (1970). Early Christian and Byzantine Art (kwa Kiingereza) (toleo la 2nd). Penguin History of Art. ISBN 978-0-14-056033-6.
  • . The Graduate Journal of Harvard Divinity School (kwa Kiingereza). Harvard College. Iliwekwa mnamo 12 Agosti 2019.{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]