Svoboda | Graniru | BBC Russia | Golosameriki | Facebook
Nenda kwa yaliyomo

Hugo Boucheron

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hugo Boucheron
Hugo Boucheron (2018)

Hugo Boucheron[1] (alizaliwa 30 Mei 1993) ni mpiga makasia mwakilishi wa Ufaransa, mshindi mara mbili kwenye Michezo ya Olimpiki na mashindano ya kidunia. Alishinda Tuzo mara mbili kwenye tukio la kushindana kupiga makasia ya mabingwa mwaka 2018 huko Plovdiv. Alishindana kwenye Tuzo ya wanaume wawiliwawili kwenye Olimpiki ya majira ya joto. [2]Akiwa pamoja na Matthieu Androdias alishinda medali ya dhahabu kwenye hayo mashindano huko Tokyo mwaka 2020.

  1. "Hugo Boucheron Bio, Stats, and Results | Olympics at Sports-Reference.com". web.archive.org. 2020-04-17. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-04-17. Iliwekwa mnamo 2021-12-28.
  2. "Olympic". web.archive.org. 2016-08-06. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-08-06. Iliwekwa mnamo 2021-12-28.