Svoboda | Graniru | BBC Russia | Golosameriki | Facebook
Nenda kwa yaliyomo

Merzifon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Merzifon

Merzifon ni mji na wilaya iliopo katika Mkoa wa Amasya katikati ya Kanda ya Bahari Nyeusi huko nchini Uturuki. Mji unachukua eneo la 970 km² na jumla la wakazi takriban 67,281 ambao wengine 45,613 wanaishi mji mwa Merzifon.

Viugo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]