Svoboda | Graniru | BBC Russia | Golosameriki | Facebook
Nenda kwa yaliyomo

Orodha ya visiwa vya Tanzania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hii ni orodha ya visiwa vya Tanzania.

Upande wa Tanganyika

[hariri | hariri chanzo]

Visiwa vya maziwa yanayoundwa na mto Kagera

[hariri | hariri chanzo]

Kisiwa cha Chabalewa * Kisiwa cha Kwankoro * Kisiwa cha Mubari * Kisiwa cha Nyakaseke

Kisiwa cha Lundo * Kisiwa cha Mbamba

Kisiwa cha Izinga * Kisiwa cha Kamamba * Kisiwa cha Malesa * Kisiwa cha Manda * Kisiwa cha Mikongolo * Kisiwa cha Nkondwe * Kisiwa cha Ulwile

Barega *Bihila * Bisuvi *Biswe * Buganbwe * Bugeru * Bukerebe * Bukurani * Buluza * Bumbire * Burubi * Busonyi * Busyengere * Butwa * Buzumu * Bwiru * Chakazimbe * Charaki * Chienda * Chihara * Chikonero * Chinyeri * Chitandere * Dunacheri * Dwiga * Galinzira (Kagera) * Galinzira (Ukerewe) * Gama * Gana * Goziba * Ijirambo * Ikuru * Ikuza * Iriga * Iroba * Irugwa * Iruma * Itami * Itemusi * Ito * Izinga *Juguu * Juma * Kagongo * Kamasi * Kaserazi * Kasima * Kategurwa * Kiamugasire * Kiau * Kibinda * Kihombe * Kinamogwishu * Kinyanwana * Kiregi * Kireta * Kishaka * Kitua * Kivumba * Kome * Kulazu * Kuriro * Kweru * Kweru Mutu * Kwigari * Kwilela * Liagoba * Liegoba * Lyegoba * Luanji * Lukuba * Lyamwenge * Mabibi * Mafunke * Maisome * Makibwa * Makome * Makove * Malelema * Maremera * Masakara * Masheka * Masuha * Mazinga * Mgonchi * Miganiko * Mijo * Morova * Mraoba * Msalala * Mtenga * Mtoa * Mtoto * Musira * Mwengwa * Nabuyongo * Nafuba * Nakaranga * Namatembe * Namguma * Ndarua * Nyabugudzi * Nyaburu * Nyajune * Nyakanyanse * Nyakasanga * Nyamasangi * Nyambugu * Nyamikongo * Nyanswi * Raju * Ramawe * Rubisho * Rubondo * Runeke * Ruregaja * Rwevaguzi * Saanane * Sara * Sata * Seza * Shuka * Siawangi * Sina * Siza * Sizu * Songe * Sosswa * Sozihe * Tefu * Ukara * Ukerewe * Usumuti * Vsi * Vianza * Wambuji * Yarugu * Yodzu * Zeru * Zimo * Zinga * Ziragura * Zue

Visiwa vimepangwa kuanzia kaskazini kwenda kusini

Visiwa upande wa kaskazini ya Tanga

Karibu na Jiji la Tanga

Kati ya Tanga na Dar es Salaam

Visiwa vya Hifadhi ya bahari ya Dar es Salaam

Funguvisiwa la Mafia

Kwale (Kisiju) na visiwa vilivyo karibu naye

Visiwa mbele ya mdomo wa mto Mohoro

Funguvisiwa la Kilwa

Karibu na Mtwara

Funguvisiwa la Zanzibar

[hariri | hariri chanzo]

Kijiografia funguvisiwa la Zanzibar huhesabiwa na Unguja, Pemba na Mafia pamoja na visiwa vidogo vilivyo karibu. Hapa tunaorodhesha visiwa vilivyo kisiasa sehemu za Jamhuri ya Watu wa Zanzibar.

Visiwa vilivyo karibu na Unguja

[hariri | hariri chanzo]

Visiwa vilivyo karibu na Pemba[1]

[hariri | hariri chanzo]

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Pemba - The clove 1:100,000, Map & Guide, 2013, Dept. of Surveys and mapping, Chake-Chake

Lua error in package.lua at line 80: module 'Module:Navbar/configuration' not found.