Svoboda | Graniru | BBC Russia | Golosameriki | Facebook
Nenda kwa yaliyomo

Pyramids FC

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Pyramids Football Club (Kiarabu: نادي بيراميدز لكرة القدم‎ au نادي الأهرام لكرة القدم) ni klabu ya soka ya Misri ambayo ina makao yake makuu huko Cairo na inashindana katika Ligi Kuu ya Misri, ligi kuu katika mfumo wa ligi ya soka ya Misri.[1]

Pyramids FC hucheza mechi zao za nyumbani katika Uwanja wa 30 Juni jijini Cairo.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Klabu hiyo iliundwa kama Al Assiouty Sport jijini Beni Seuf mwaka 2008.[2] Klabu hiyo ilipandishwa daraja kuingia katika Ligi Kuu ya Misri kwa mara ya kwanza mwaka 2014,[3] lakini walimaliza wa 19 na kushushwa daraja katika msimu wao wa kwanza.[4] Walishinda Kundi A la Daraja la Pili katika msimu wa 2016–17 na kupandishwa tena kuingia Ligi Kuu.[5]

klabu hiyo ilinunuliwa na kuhamishiwa Cairo mwaka 2018.

  1. "Pyramids FC نادي الفلوم الرياضي" (kwa Kiarabu). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 6 Mei 2019. Iliwekwa mnamo 25 Julai 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "The Crazy Story of Egyptian Football Club Pyramids FC". Hooligan F.C. (kwa American English). 2020-05-10. Iliwekwa mnamo 2022-01-13.
  3. "الأسيوطي سبورت يتأهل للدوري الممتاز" [Al Assiouty Sport promoted to the Egyptian Premier League] (kwa Kiarabu). FilGoal. 26 Juni 2014. Iliwekwa mnamo 21 Novemba 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Egyptian Premier League 2014/2015 - Results, fixtures, tables and stats - Global Sports Archive". globalsportsarchive.com. Iliwekwa mnamo 2022-01-14.
  5. "الأسيوطي يصعد رسميا للدوري الممتاز | Goal.com". www.goal.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 14 Januari 2022. Iliwekwa mnamo 2022-01-14.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Pyramids FC kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.