Svoboda | Graniru | BBC Russia | Golosameriki | Facebook
Nenda kwa yaliyomo

Rebecca Selkirk

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rebecca Joy Selkirk (alizaliwa 1993), ni mchezaji wa chess wa Afrika Kusini na Woman Candidate Master (WCM, 2019).

Selkirk alipata taji la Woman Candidate Master mnamo mwaka 2019. Aliwakilisha Afrika Kusini katika mashindano ya Chess mwaka 2018 kwenye bodi nne. [1]

Selkirk alifuzu kuwakilisha Afrika Kusini katika mashindano ya mtandaoni ya mwaka 2021. Hata hivyo alikataa mwaliko huo kutokana na kukosekana kwa uwazi na uendeshaji usiofaa wa mchakato wa kufuzu. [2]

  1. "43rd Olympiad Batumi 2018 Women". chess-results.com. Iliwekwa mnamo 19 Machi 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Selkirk (beccrajoy), Rebecca. "South African Chess in Crisis". Chess.com (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2021-09-01.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rebecca Selkirk kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.