BBC Russian
Svoboda | Graniru | BBC Russia | Golosameriki | Facebook
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Faida Musafiri, mjane wa Bukavu asiyekata tamaa

Kutokana na miongo kadhaa ya ukosefu wa usalama mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, akina mama wengi wamebaki wajane baada ya waume zao kuuwa na magenge ya wahalifu. Faida Musafiri wa mjini Bukavu ni mfano wa wajane hao, ambao badala ya kukata tamaa wameamua kuondoa uvivu na kufanya kazi kuzitunza familia zao. #Kurunzi

Tazama vidio 03:07