Hapa unaweza kupata haraka na kwa urahisi maumbo yanayofaa ya kujifunza Kijerumani. Kitafutaji Kozi kinakupa muhtasari wa machaguo yote yaliyopo. Huna uhakika wa kiwango chako ndani ya Mfumo Maarufu wa Ulaya wa Marejeleo ya Lugha (Common European Framework of Reference for Languages)? Basi fanya jaribio na ujue Kijerumani chako ni bora kiasi gani!