Alfajiri - Voice of America VOA
-
- News
-
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Ratiba: Monday-Friday
Saa (kwa saa za huku): 06:00
UTC saa ya kimataifa 0300
Muda: 30
Sikiliza: Podcast
-
Serikali ya Kenya yaanza juhudi mahsusi zikijumuisha idara na mashairika kadhaa kukabiliana na athari za mvua kubwa zinazoendelea - Aprili 26, 2024
Jeshi la Kenya Alhamisi lilifanya operesheni kuwaokoa wahanga wa mvua kubwa iliyosababisha vifo
-
Amnesty International yazisuta Zimbabwe, DRC na Ethiopia kwa rekodi mbaya ya haki za binadamu - Aprili 25, 2024
Ripoti ya kila mwaka ya shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu, Amnesty International, inaonyesha hali bado ni mbaya nchini Zimbabwe, DRC na Ethiopia, licha ya kuisifu Zimbabwe kwa kutekeleza sheria kulinda watoto dhidi ya mimba za mapema.
-
Benki ya Dunia yasitisha ufadhili wa mradi wa utalii na uhifadhi nchini Tanzania - Aprili 24, 2024
Benki ya Dunia yasitisha ufadhili wa mradi wa utalii na uhifadhi nchini Tanzania
-
Historia yaandikwa baada ya Donald Trump kuwa rais wa zamani kusimama kizimbani - Aprili 23, 2024
Historia iliaandikwa jana Jumatatu pale, rais wa zamani wa Marekani, alijipata kizimbani, kwenye mahakama moja mjini New York, na kupinga vikali mashtaka ya kashfa ya kuzuia taarifa kuhusu maisha yake ya kibinafsi, kuwekwa wazi, ili zisiathiri vibaya nafasi yake ya kushinda uchaguzi wa rais.
-
Hoja za ufunguzi zatarajiwa kusikilizwa katika kesi inayomkabili Donald Trump New York - Aprili 22, 2024
Hoja za ufunguzi zatarajiwa kusikilizwa katika kesi inayomkabili Donald Trump New York
-
Israeli imeishambulia Iran - Maafisa wa Marekani - Aprili 19, 2024
Israeli imeishambulia Iran - Maafisa wa Marekani
Customer Reviews
Great coverage
This podcast provides great world news coverage kwa Kiswahili, but as a non-native Swahili speaker the announcers often speak too fast for me. I think it is still the best broadcast with the broadest coverage! Thanks VOA!