BBC News, Swahili - Habari
Habari kuu
155 wafa, zaidi ya 200 wajeruhiwa kwa mafuriko Tanzania
Takribani watu 200,000 na zaidi ya kaya 51,000 zimeathirika huku miundombinu mbalimbali ikiharibika.
Vita vya Ukraine: Marekani yatuma kwa siri makombora ya masafa marefu kusaidia Kyiv
Tayari zimetumika angalau mara moja kulenga shabaha za Urusi katika eneo linalokaliwa la Crimea, ripoti za vyombo vya habari vya Marekani zinasema
Rappa wa Iran amehukumiwa kifo, asema wakili
Mmoja wa mawakili wa Bw Salehi, Amir Raesian, alisema rapa huyo atakata rufaa dhidi ya hukumu hiyo.
Kwa nini Qatar imeruhusu uwepo wa ofisi ya Hamas nchini mwake?
Uvumi umetanda katika vyombo vya habari vya Magharibi na Kiarabu kuhusu iwapo Hamas itahamisha ofisi yake ya kisiasa kutoka Qatar hadi nchi nyingine, au Qatar inakusudia kuwafukuza viongozi wa Hamas na kufunga ofisi hiyo.
Vita vya Ukraine: Kwanini Ukraine inaweza kushindwa na Urusi 2024?
Kamanda wa zamani wa Uingereza ameonya kwamba Ukraine inaweza kushindwa na Urusi mwaka 2024. Kwnaini?
Kuwatafuta wapendwa waliopotea katika makaburi ya halaiki ya Gaza
Katika vita hivi, ni changamoto kubwa kujua jinsi watu ambao miili yao ilifukuliwa katika hospitali ya Nasser walikufa.
Mpatakuva: Majani yanayotumika kama mbadala wa karatasi za chooni Afrika na Marekani
Je, majani ya mpatakuva ama Plectranthus barbatus (boldo) kwa lugha ya kiengereza, ni mbadala wa karatasi za gharama kubwa za chooni katika bara la Afrika?
Tanzania yakana madai ya unyanyasaji huku Benki ya dunia ikisitisha ufadhili
Siku ya Jumanne, Benki ya Dunia ilisema kuwa imesitisha ufadhili wake wa mradi wa utalii wa dola milioni150 katika Hifadhi ya Kitaifa ya Ruaha, ikisema ina wasiwasi mkubwa kuhusu madai hayo.
Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi 25.04.2024
Manchester United wanavutiwa na mshambuliaji wa Brentford na England Ivan Toney
Mtoto wa Kiislamu adaiwa kuchapwa viboko kwa kuhudhuria ibada kanisani
Msichana huyo anadaiwa kuchapwa viboko 100 na mjombake huku wajomba zake wengine watano wakimshikilia chini, tovuti ya habari ya Nile Post iliripoti.
Waridi wa BBC : Nilikimbia ‘dogoli na okuleya’ kutimiza ndoto yangu ya kuwa sauti ya jamii
Kipande cha gazeti kilichofungia sabuni kilivyonipa taarifa ya thamani
Bahari mpya itakayoigawa Afrika itaibuka mapema zaidi ya ilivyofikiriwa – Utafiti mpya
Mwaka 2023, makala 17 zilichapishwa, zikieleza juu ya mkondo mpya wa bahari utakaoibuka katika eneo la Afar, Ethiopia ambalo liko kwenye mipaka ya nchi hiyo pamoja Eritrea na Djibouti.
Michezo
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani
Sikiza / Tazama
Gumzo mitandaoni
Fahamu dalili za magonjwa manane ya figo
Kwa mujibu wa utafiti wa hivi karibuni wa Shirika la India la Nephrology, watu milioni 84 duniani kote wanaugua magonjwa mbalimbali ya figo.
'Tunahitaji muujiza' - Uchumi wa Israeli na Palestina ulivyoathiriwa na vita
Vita vya Gaza ambavyo vimedumu kwa zaidi ya miezi sita vimekuwa na athari kubwa kwa uchumi wa Israeli na Palestina.
Je, Israel itaiburuza Marekani kwenye vita vikali huko Mashariki ya Kati?
Israel inaonekana kutaka kupanua vita kutoka Gaza hadi Lebanon na pengine Yemen na hata Iran.
Ni silaha gani muhimu zinazohitajika na Ukraine kuzuia kasi ya Urusi?
Ni aina gani ya uhaba wa silaha na risasi utakaowakumba wanajeshi wa Ukraine iwapo bunge la Marekani litaendelea kuchelewesha upelekaji wa misaada kwa Ukraine?
Wasiwasi huku Rwanda ikijiandaa kuwasili kwa wahamiaji wa Uingereza
Makazi ya Hope Hostel nchini Rwanda yako tayari kupokea wahamiaji wasiotakiwa kutoka Uingereza kwa siku 664.
Je, nguvu za kijeshi kati ya Iran na Israel zinalingana vipi?
Matumizi ya ulinzi ya Israel ikilinganishwa na Pato la Taifa pia ni maradufu ya Iran.
Je, mzozo kati ya Israel na Iran unaweza kusababisha Vita vya Tatu vya Dunia?-Gazeti la The Independent
Ni kwa kiasi gani mwelekeo wa mzozo wa sasa kati ya Israel na Iran unaweza kupanuka na kugeuka kuwa vita vya tatu vya dunia.
Je,shambulio la Israel dhidi ya Iran linaonyesha nchi hizo hazifahamu uwezo wa kila mmoja kijeshi?
Ikiwa shambulio la Isfahan halitafuatiwa na mashambulizi zaidi, basi mvutano wa utapungua haraka
Je, Mmiliki wa TikTok yuko tayari kupoteza programu yake maarufu?
Uza au upigwe marufuku - Shughuli za TikTok za Marekani, kulingana na makadirio , zinaweza kufikia dola bilioni 100.
Tuyajenge
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 26 Aprili 2024, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 25 Aprili 2024, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 25 Aprili 2024, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 25 Aprili 2024, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki