Svoboda | Graniru | BBC Russia | Golosameriki | Facebook

Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Aprili 23, 2024 Local time: 23:04

Rais mteule wa Kenya William Ruto ashinda uchaguzi mkuu 2022

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka Wafula Chebukati Jumatatu amemtangaza William Ruto Rais Mteule wa Kenya.
Image/Courtesy.
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka Wafula Chebukati Jumatatu amemtangaza William Ruto Rais Mteule wa Kenya. Image/Courtesy.

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati amemtangaza Naibu Rais William Ruto kuwa Rais mteule wa Kenya, akiwa amepata zaidi ya asilimia 50.49 ya kura na kiongozi mkuu wa upinzani  Raila Odinga alishika nafasi ya pili akiwa amepata asilimia takriban 48.85 ya kura

Mgombea urais ili kutangazwa mshindi ni lazima apata asilimia 50 na kura moja. Wagombea wengine wawili ambao hawakupata hata asilimia moja ya kura ni George Wajackoyah na David Mwaure.

Mgombea urais Odinga hakufika Bomas kwenye eneo ambalo ni kituo rasmi cha IEBC ambacho kilikuwa kinakusanya matokeo ya kutoka katika kile kituo cha kupigia kura nchini humo.

XS
SM
MD
LG