Radio
19:30 - 19:59
Mahakama ya Katiba ya Uganda yakataa kubatilisha sheria kali iliopitishwa na bunge dhidi ya wapenzi wa jinsia moja.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.