Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametangaza nyongeza ya asili mia 12 kwa mishahara ya chini ya wafanyakazi wa umma, huku serikali ya Tanzania ikisema suala la nyongeza litaangaliwa.