Radio
06:00 - 06:29
16:30 - 16:59
Odinga awasilisha ombi la kupinga ushindi wa Rais mteule Ruto
Aliyekuwa mgombea wa urais katika uchaguzi mkuu wa Kenya, Agosti 9, Raila Odinga, na muungano wake wa Azimio, wamewasilisha hoja 23 kwenye mahakama ya juu, kutaka ushindi wa Dr. William Ruto ubatilishwe, kwa madai kwamba uchaguzi na hesabu ya kura vilijaa udanganyifu. Anataka uchaguzi kurudiwa.
21:00 - 21:29
Kwa Undani: Raila Odinga amewasilisha mahakamani maombi ya kutaka ushindi wa rais mteule Dr. William Ruto ufutiliwe mbali
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.