Radio
06:00 - 06:30
19:30 - 19:59
Jioni: Watu wamekimbia mji mzima kufuatia mashambulizi ya kundi la wapiganaji la ADF mashariki mwa DRC
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
21:00 - 21:29
Malalamishi yaibuka Kenya wakati magavana wateule wakijiandaa kuapishwa Alhamisi
Kufuatia uchaguzi mkuu uliofanyika nchini Kenya tarehe 9 mwezi Agosti mwaka huu, kwa mujibu wa sheria magavana waliochaguliwa wanatakiwa kuapishwa Alhamisi wiki hii, na matayarisho yanafanyika huku baadhi ya Wakenya wakipinga "kiasi kikubwa cha pesa kinachotumika" kwa hafla hizo kote nchini.