Radio
06:00 - 06:30
Marekani yasema itaendelea kuacha milango ya kidiplomasia na China wazi.
Naibu waziri wa mambo ya nje wa Marekani wakati akizungumza na balozi wa China mjini Washington alisema kwamba licha ya mataifa yote mawili kutofautiana kwenye mambo kadhaa kama vile suala la Taiwan, nafasi za kidimplomasia zitabaki kuwa wazi.
16:30 - 16:59
Vijana wanaolima mihogo Tanzania waitaka serikali kuwawekea mazingira bora ya kupatikana soko.
Vijana wanao jihusisha na kilimo cha muhogo nchini Tanzania wameitaka serikali ya nchi hiyo kuwawekea mazingira rafiki ya upatikanaji wa soko la uhakika pamoja na kiwanda cha kusindikia zao hilo ili kuweza kujiongezea kipato.
19:30 - 19:59