Japan imefungua kongamano la uwekezaji barani Afrika nchini Tunisia leo Jumamosi, ili kukabiliana na ushawishi wa mpinzani wake China ambaye ukuaji wake wa kiuchumi katika bara hilo unaendelea kukua.