BBC News, Swahili - Habari
Habari kuu
Pentagon kupeleka 'haraka' mfumo wa makombora ya Patriot nchini Ukraine
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky anasema mfumo wa ulinzi wa Patriot unahitajika ili kukabiliana haraka iwezekanavyo na tishio la mashambulizi ya anga ya Urusi.
Waafrika Kusini wanavyohisi kuhusu miaka 30 ya uhuru
Miaka 30 baada ya kuchaguliwa kwa Nelson Mandela na kumalizika kwa ubaguzi wa rangi, Waafrika Kusini wanatafakari kuhusu demokrasia.
Meli ya mafuta yaharibiwa katika shambulio la kombora la Houthi
Kundi la waasi la Yemen linasema shambulio lake la hivi punde lililenga kundi la Andromeda Star.
Je, Ukraine inahusika katika vita vya Sudan kama Urusi inavyohusika?
"Ripoti ambazo zimeibuka kuhusu vikosi vya Ukraine nchini Sudan, vinaonekana kuwalenga zaidi Wagner kuliko kutoa msaada kwa jeshi la Sudan katika kupambana na Rapid Support Forces."
Nyota wa TikTok wa Iraq Om Fahad auawa mjini Baghdad
Om Fahad alihukumiwa kifungo cha miezi sita jela mwaka jana kwa kushiriki video zake katika mitandao ya kijamii.
Ukosefu wa usalama: Jinsi ambavyo DRC imekuwa tegemezi kwa uingiliaji kati wa majeshi ya kigeni
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imekuwa ikikumbwa na mizozo katika eneo lake kwa zaidi ya nusu karne, ambayo imesababisha uingiliaji kati wa majeshi ya kigeni, baadhi yakiunga mkono serikali ya Kinshasa, huku mengine yakipambana nayo.
Je, ni umri gani sahihi wa kuwa mama na madaktari wanasema nini kuhusu hili?
Baadhi ya maswali hayana majibu ya uhakika. Yana majibu mengi. Hutofautiana kutoka kwa mtu hadi mtu. Hata hivyo, maswali hayaishi na hivyo kufanya majibu yake kuwa mengi pia.
Tetesi za Soka Ulaya Jumamosi 27.04.2024
Manchester United wako tayari kumwachia mlinzi wa zamani wa Ufaransa Raphael Varane, 31, kuondoka bure mkataba wake utakapokamilika msimu huu wa joto. (Mirror)
Mtoto aliyeokolewa kutoka tumboni mwa mama aliyeuawa Gaza afariki
Mtoto Sabreen alikuwa miongoni mwa watoto 16 waliouawa katika mashambulizi mawili ya anga huko Rafah wikendi iliyopita.
Je, kuku wa 'kizungu' wanaweza kusababisha matatizo ya kiafya?
Ripoti nyingi zinadai kuwa kuku wa kizungu hudungwa sindano za homoni kuwafanya wakue haraka
Kwa nini 'uwezo mkubwa' wa China unazitia wasiwasi Ulaya na Marekani?
Marekani inasema kwamba viwanda vinavyoibukia viliathirika na uagizaji wa bidhaa za bei nafuu kutoka China kama vile chuma miaka 10 iliyopita
Bahari mpya itakayoigawa Afrika itaibuka mapema zaidi ya ilivyofikiriwa – Utafiti mpya
Mwaka 2023, makala 17 zilichapishwa, zikieleza juu ya mkondo mpya wa bahari utakaoibuka katika eneo la Afar, Ethiopia ambalo liko kwenye mipaka ya nchi hiyo pamoja Eritrea na Djibouti.
Michezo
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani
Sikiza / Tazama
Gumzo mitandaoni
Yafahamu makombora ya masafa marefu ambayo Marekani imeipa Ukraine
Makombora hayo tayari yametumika angalau mara moja dhidi ya malengo ya Urusi katika rasi ya Crimea inayokaliwa kwa mabavu.
Mfahamu Jenerali Aharon Haliva, ambaye alijiuzulu baada ya kushindwa kuilinda Israel kutokana na shambulio la Oktoba 7
Katika barua yake ya kujiuzulu, ambayo ilisambazwa kwa vyombo vya habari, jenerali huyo alithibitisha kwamba anawajibika kwa kushindwa kuzuia shambulio ambalo halijawahi kutokea dhidi ya Israel.
Waridi wa BBC : Nilikimbia ‘dogoli na okuleya’ kutimiza ndoto yangu ya kuwa sauti ya jamii
Kipande cha gazeti kilichofungia sabuni kilivyonipa taarifa ya thamani
Vita vya Ukraine: Marekani yatuma kwa siri makombora ya masafa marefu kusaidia Kyiv
Tayari zimetumika angalau mara moja kulenga shabaha za Urusi katika eneo linalokaliwa la Crimea, ripoti za vyombo vya habari vya Marekani zinasema
Fahamu dalili za magonjwa manane ya figo
Kwa mujibu wa utafiti wa hivi karibuni wa Shirika la India la Nephrology, watu milioni 84 duniani kote wanaugua magonjwa mbalimbali ya figo.
'Tunahitaji muujiza' - Uchumi wa Israeli na Palestina ulivyoathiriwa na vita
Vita vya Gaza ambavyo vimedumu kwa zaidi ya miezi sita vimekuwa na athari kubwa kwa uchumi wa Israeli na Palestina.
Je, Israel itaiburuza Marekani kwenye vita vikali huko Mashariki ya Kati?
Israel inaonekana kutaka kupanua vita kutoka Gaza hadi Lebanon na pengine Yemen na hata Iran.
Wasiwasi huku Rwanda ikijiandaa kuwasili kwa wahamiaji wa Uingereza
Makazi ya Hope Hostel nchini Rwanda yako tayari kupokea wahamiaji wasiotakiwa kutoka Uingereza kwa siku 664.
Je, nguvu za kijeshi kati ya Iran na Israel zinalingana vipi?
Matumizi ya ulinzi ya Israel ikilinganishwa na Pato la Taifa pia ni maradufu ya Iran.
Tuyajenge
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 29 Aprili 2024, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 26 Aprili 2024, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 26 Aprili 2024, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 26 Aprili 2024, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki