Pia utaweza kupata ushahidi mwingine kutoka kwa Shirika la Wanawake lisilokuwa la kiserikali linalotetea maslahi ya uchumi wa Zambia na usawa wa kijinsia wakieleza changamoto zinazowakabili wanawake nchini humo. Juliet Chibuta, mkurugenzi mtendaji wa Taasisi ya National Women Lobby anatoa kwa muhtasari yale ambayo yamekuwa ni faraja kwao kutokana na ufisadi kudhibitiwa nchini Zambia.
Je, ni alama zipi zinaifanya Zambia kuwa imeimarika katika kukabiliana na hujuma za ufisadi?
Matukio
-
Septemba 22, 2024
Milipuko ya magonjwa hasa Kipindupindu inavyoathiri jamii nchini Sudan.
-
Septemba 16, 2024
Changamto za uraibu au dawa za kulevya miongoni mwa vijana katika jamii
-
Septemba 15, 2024
Mtangazaji na msanii wa Tanzania Mwijaku azungumzia juu ya muziki wake
-
Septemba 11, 2024
Angelina Jolie aigiza filam ya mwimbaji wa Opera Maria Callas
Forum