Blinken anaanza ziara yake mjini Paris, ambako wizara ya mambo ya nje ya Marekani inasema atakutana na Rais Emmanuel Macron
Ikinukuu chanzo cha usalama kisichojulikana, kituo hicho kilisema Ibrahim Dbeibah hakuwepo nyumbani wakati roketi hizo zilipopiga
Gavana wa mkoa wa Belgorod aliripoti uharibifu wa nyumba na umeme ikiwa ni matokeo ya vifusi
Jeshi la Israel limesema limewaua wanamgambo 200 katika eneo la hospitali hiyo ya Shifa
Walioshuhudia wanasema shambulizi la anga la Israel lilipiga mahema kadhaa ndani ya hospitali ya Al-Aqsa Martyrs
Hatua hii inafuatia shambulio baya zaidi kuwahi kutokea nchini humo ambapo watu wasiopungua 144 waliuawa.
Ubalozi wa India nchini Cambodia unafanya kazi na mamlaka za Cambodia na umewaokoa na kuwarudisha nyumbani takriban raia wa India 250
Kiongozi wa kanisa la Katoliki Duniani pia anatarajiwa kuelezea migogoro ya kimataifa inayoendelea duniani kote
Kenya imekuwa kituo kikuu cha utalii Afrika Mashariki kiasili kinavutia wageni duniani kote kwenye mbuga za wanyamapori
Msemaji wa Taliban ameiambia redio ya serikali ya Afghanistan wameifahamisha Marekani kuhusu kukamatwa kwa raia wake
Vikundi vya wahandisi sasa vimeangazia kazi kubwa ya kusafirisha mabaki yaliyovunjika ya Daraja kuwa la Francis Scott kutoka Mto Patapsco huko Maryland, hatua ya kwanza ya kufungua tena Bandari ya Baltimore na kuopoa miili ya wafanyakazi wanne ambao bado hawajapitakana na wanaodhaniwa kuwa wamekufa.
Wamarekani wana wasiwasi zaidi kuhusu wahamiaji halali kuweza kufanya vitendo vya uhalifu nchini Marekani kuliko ilivyokuwa miaka michache nyuma.
Pandisha zaidi