Utani wa Rais wa Marekani Joe Biden ulipokelewa vyema na wale waliohudhuria chakula cha jioni cha waandishi huko White House Jumamosi usiku hapa Washington DC.
Waziri wa Mambo ya Nje Antony Blinken amewasili Riyadh kwa ajili ya mazungumzo ya kikanda Jumatatu na Jumanne kuhusu msaada wa kibinadamu huko Gaza, mpango baada ya vita kwa maeneo ya Palestina, na utulivu na usalama katika Mashariki ya Kati.
Wapiganaji wanaoshukiwa wa ISWAP walitumia kifaa cha milipuko kulipua gari lililowabeba Civilian Joint Task Force
Watu katika mitaa ya pembeni mwa mji mkuu Lome waligawanyika juu ya uchaguzi na nani anapaswa kuongoza.
HRW imeyataja mauaji hayo miongoni mwa matukio mabaya ya unyanyasaji unaofanywa na jeshi la Burkina Faso tangu 2015
Séjourné anatarajiwa kukutana na vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Mataifa kusini mwa Lebanon na spika wa bunge la Lebanon.
Hayo yanajiri wakati Israel bado ikiahidi kuuvamia mji wa kusini wa Rafah licha ya wasiwasi wa ulimwengu kwa maelfu ya Wa-palestina.
Viongozi wa dunia na makundi ya misaada wanaonya uvamizi wa Israel katika mji wa kusini wa Rafah utasababisha machafuko
Dzhumokhon Kurbonov, raia wa Tajikistan anatuhumiwa kwa kuwapatia washambuliaji njia za mawasiliano na ufadhili
April 19 mawaziri wao wa ulinzi walifanya mkutano kwa lengo la kuleta “mwanzo mpya” katika mahusiano ya nchi hizo mbili.
Wakati huo huo Chuo Kikuu cha Columbia kinaendelea na mazungumzo na wale walio katika kambi ya wanafunzi wanaounga mkono Wapalestina
Shambulizi hilo la anga lilifanywa na makombora ya masafa ya balistiki na yale yanayosafiri umbali mrefu
Pandisha zaidi