Svoboda | Graniru | BBC Russia | Golosameriki | Facebook

Maoni mseto yaibuka Kenya kufuatia kauli ya kinara wa upinzani Odinga

Your browser doesn’t support HTML5

Maoni tofauti yajitokeza baada ya kinara wa upinzani Raila Odinga kutangaza kuchukua hatua za kikatiba kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu wa Kenya.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.