Svoboda | Graniru | BBC Russia | Golosameriki | Facebook

Matatizo ya kisheria ya Donald Trump yazidi kuongezeka

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa zamani wa Marekani amesema alikataa kujibu maswali wakati akiwa mbele ya Mkuu wa Sheria wa New York kutokana na kutumia haki yake ya kikatiba ya kutojitia hatiani.