Svoboda | Graniru | BBC Russia | Golosameriki | Facebook

Mwandishi wa Uganda aliyeko uhamishoni asimulia alivyoteswa kwa kusimamia maadili

Your browser doesn’t support HTML5

Lawrence Kiwanuka Nsereko aliyeko uhamishoni asimulia madhila yaliyomkuta wakati akiwa mwandishi nchini Uganda kutokana na kushikamana na maadili ya kazi yake.

Aeleza vitisho na hatimaye nguvu ya dola ilivyomshughulikia wakati alipokataa kukubaliana na utawala uliokuwa madarakani wa Rais Yoweri Museveni.