Kombe la Mataifa ya Afrika 2023
Kombe la Mataifa ya Afrika 2023
-
KOMBE LA MATAIFA YA AFRIKA IVORY COAST 23
'Misri kutoka sare na Msumbiji yathibitisha 'ugumu wa mechi' za AFCON'
Katika mtanange mwingine, kwenye uwanja wa Felix Houphouet Boigny mjini Abidjan kati ya Misri na Msumbiji nyota wa Mafarao wa Misri Mohamed Salah aliokoa timu yake kutopata kichapo cha aibu.