Dzhumokhon Kurbonov, raia wa Tajikistan anatuhumiwa kwa kuwapatia washambuliaji njia za mawasiliano na ufadhili
April 19 mawaziri wao wa ulinzi walifanya mkutano kwa lengo la kuleta “mwanzo mpya” katika mahusiano ya nchi hizo mbili.
Wakati huo huo Chuo Kikuu cha Columbia kinaendelea na mazungumzo na wale walio katika kambi ya wanafunzi wanaounga mkono Wapalestina
Shambulizi hilo la anga lilifanywa na makombora ya masafa ya balistiki na yale yanayosafiri umbali mrefu
Raia wa Afrika Kusini wanapiga kura Mei 29 miongo mitatu baada ya uchaguzi wa kwanza wa kidemokrasia mwaka 1994 uliomaliza utawala wa wazungu
Mahakama ilitoa uamuzi kutoruhusiwa ombi kutoka kwa vyama vya mahakimu kuiona kuwa Mali ilikuwa na mapungufu ya kisheria
Benin, Liberia na Sierra Leone siku ya Alhamisi zimezindua mpango mkubwa wa chanjo unaojulikana Africa-focused initiative mpango unaotumainiwa kuokoa maisha ya maelfu ya watoto kila mwaka kote barani Afrika.
Kundi la wanamgambo wa Lebanon, Hezbollah, limerusha makombora ya kukabiliana na vifaru na mabomu dhidi ya msafara wa jeshi la Israel katika eneo lenye ghasia la mpakani na kumuua raia wa Israel, kundi hilo na jeshi la Israel limesema Ijumaa.
Misri imetuma ujumbe wa ngazi ya juu Israel, Ijumaa kwa matumaini ya kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano na Hamas, Gaza, maafisa wawili wamesema.
Mwenyekiti wa bunge la Vietnam, Vuong Dinh Hue amejiuzulu kutokana na ukiukwaji wa masuala kadhaa serikali yake imesema Ijumaa, ikiwa ni ishara mpya ya msukosuko wa kisiasa wiki chache tu baada ya kufutwa kazi kiongozi wa ngazi ya juu yaani rais wa nchi hiyo.
Serikali ya Somalia imekiri kwamba usambazaji wa mgao kwa wanajeshi wake wasomi waliopata mafunzo Marekani umepelekwa kwingine ndai ya vitengo vyake ya jeshi.
Wanafunzi katika vyuo mbalimbali wanaendelea na maandamano kama hayo ambayo pia yanakabiliwa na kuzuiwa na polisi.
Pandisha zaidi