Walioshuhudia wanasema shambulizi la anga la Israel lilipiga mahema kadhaa ndani ya hospitali ya Al-Aqsa Martyrs
Hatua hii inafuatia shambulio baya zaidi kuwahi kutokea nchini humo ambapo watu wasiopungua 144 waliuawa.
Ubalozi wa India nchini Cambodia unafanya kazi na mamlaka za Cambodia na umewaokoa na kuwarudisha nyumbani takriban raia wa India 250
Kiongozi wa kanisa la Katoliki Duniani pia anatarajiwa kuelezea migogoro ya kimataifa inayoendelea duniani kote
Kenya imekuwa kituo kikuu cha utalii Afrika Mashariki kiasili kinavutia wageni duniani kote kwenye mbuga za wanyamapori
Msemaji wa Taliban ameiambia redio ya serikali ya Afghanistan wameifahamisha Marekani kuhusu kukamatwa kwa raia wake
Mtaalamu asiyefungamana na upande wowote anaonya kwamba machafuko mengi yanayoikabili Mali, yanayochochewa na kuongezeka kwa mashambulizi kutoka kwenye makundi yenye silaha ya Kiislamu, yanasababisha kuzorota kwa kasi kwa hali ya usalama wa nchi hiyo
Picha za televisheni zilisambaa huko Peru Ijumaa jioni zikionyesha wana usalama wa serikali kutoka kwenye timu ya wapelelezi wakivamia makazi ya rais kwa kutumia nyundo katika uvamizi ulioidhinishwa na mahakama kwa ombi la ofisi ya mwanasheria mkuu.
Vikundi vya wahandisi sasa vimeangazia kazi kubwa ya kusafirisha mabaki yaliyovunjika ya Daraja kuwa la Francis Scott kutoka Mto Patapsco huko Maryland, hatua ya kwanza ya kufungua tena Bandari ya Baltimore na kuopoa miili ya wafanyakazi wanne ambao bado hawajapitakana na wanaodhaniwa kuwa wamekufa.
Vatican ilithibitisha kuwa Papa Francis ataongoza ibada ya mkesha wa Pasaka Jumamosi usiku, baada ya kuamua dakika za mwisho kutoshiriki katika maandamano ya Ijumaa Kuu katika ukumbi wa Colosseum kama tahadhari ya afya.
Jeshi la Anga la Ukraine lilisema Machi 30 kwamba vikosi vya Russia vilirusha makombora manne mashariki mwa Ukraine usiku kucha, pamoja na ndege zisizo na rubani 12 za Shahed kote nchini.
Shirika la Hilali Nyekundu la Palestina limesema watu watano waliuwawa na darzeni wengine kujeruhiwa kwa risasi na mkanyagano wakati wa utoaji wa misaada Jumamosi huko Gaza, ambapo njaa inakaribia.
Pandisha zaidi