Radio
16:30 - 16:59
Wakenya wasikitishwa na kasi ndogo ya kubuni nafasi za kazi mwaka 2023, kwa mujibu wa kura ya maoni ya TIFA
Wakenya wasikitishwa na kasi ndogo ya kubuni nafasi za kazi mwaka 2023, kwa mujibu wa kura ya maoni ya TIFA kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
21:00 - 21:29
Meza ya waandishi wa habari ikizungumzia baadhi ya masuala makuu mwaka huu yakiwemo vita vya Ukraine na Gaza, pamoja na uchaguzi wa DRC.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.