Svoboda | Graniru | BBC Russia | Golosameriki | Facebook

Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Aprili 28, 2024 Local time: 10:48

DRC: CENI yafuta matokeo ya uchaguzi ya zaidi ya wagombea 82 kwa tuhuma za wizi wa kura

DRC: CENI yafuta matokeo ya uchaguzi ya zaidi ya wagombea 82 kwa tuhuma za wizi wa kura
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:58 0:00

Tume ya Taifa ya Uchaguzi CENI imefuta matokeo ya zaidi ya wagombea 82 wakiwemo magavana na mawaziri kwa tuhuma za kuwepo wizi wa kura katika uchaguzi uliofanyika Disemba mwaka 2023.

XS
SM
MD
LG