Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Wafanyabiashara vijana na wanawake walalamikia kufungwa kwa mpaka kati ya Burundi na Rwanda.
LIVETAK: Tunajadili michuano ya mpira wa miguu AFCON inayoanza Jumamosi nchini Ivory Coast
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.