Radio
16:30 - 17:00
Teddy Mbaga kijana kutoka Tanzania anasema kifo cha Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi ni pigo kwa vijana alifungua fursa za elimu bora na ajira
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.
19:30 - 20:29
Funzo aliloacha Rais mstaafu wa awamu ya pili Tanzania Ali Hassan Mwinyi alikuwa mweledi, mnyenyekevu kwa wengine na aliridhika na madaraka
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.