Radio
16:30 - 16:59
19:30 - 20:00
Mawaziri wa Afrika mashariki wanaosimamia Afya wameidhinisha mfumo wa sera wa kikanda unaolenga kukuza ustawi wa uzalishaji dawa
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.