Radio
19:30 - 20:29
Mjadala wa Live Talk kuhusiana na mikopo ya kimataifa ambayo imeelemea baadhi ya mataifa ya kiafrika.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.