China siku ya Alhamisi ilisema Baraza la Wawakilishi la Marekani kuidhinishwa mswaada ambao utailazimisha TikTok kuvunja uhusiano na kampuni mama ya China au kupigwa marufuku nchini Marekani kunafuata mantiki ya kijambazi.
Vifaa vya kijeshi vya Uturuki, miradi ya maendeleo na miundombinu ya Morocco na Iran inazivutia serikali za kijeshi za Sahel
Wakati huo huo mashambulizi ya anga ya jeshi la Ukraine siku ya Jumanne yaliulenga mji mkuu wa Russia
USCIRF imesema ujumbe ulikuwa ukitembelea Diriyah mji wa kihistoria ambao ni eneo la Urithi wa Dunia la UNESCO
Israel pia iliripoti Jumanne kufanya mashambulizi mapya ya anga katika eneo la Khan Younis kusini mwa Gaza
Wakati wapiga kura wa Marekani wanajitayarisha kwa duru nyingine ya chaguzi za awali siku ya Jumanne, Rais wa Marekani, Joe Biden na mpinzani wake wa kisiasa Mrepublican Donald Trump walisafiri mwishoni mwa wiki kwenda kwenye majimbo ambayo matokeo yanaweza kwenda upande wowote.
Israel imesema inakaribisha usafirishaji wa baharini na huenda itakagua mizigo inayoelekea Gaza
Orodha kamili ya washindi wa 2024 wa Oscars itatangazwa moja kwa moja kutoka ukumbi wa Dolby huko Los Angeles
Kashfa za karibuni kuhusu ufisadi zimevitia doa vyama viwili ambavyo vimekuwa madarakani kwa kupishana kwa miongo kadhaa
Operesheni hiyo ilikuwa ishara ya karibuni ya matatizo wakati ghasia za magenge zikitishia kuiangusha serikali ya Haiti
Afrika Kusini iko ukingoni kuanguka sio kwa sababu ya ukosefu kwa watu wetu lakini kwa kuwa imekabiliwa na utawala duni na ufisadi
Ni miongoni mwa mpango wa mageuzi yenye lengo la kubadili kiwango cha uzazi kinachopungua huko Thailand
Pandisha zaidi