Darzeni ya wanaharakati wanawake kutoka nchi tofauti walipewa tuzo za International Women of Courage kwa harakati zao katika kutetea haki za binadamu na wanawake.
Majaji kwa kauli moja walibatilisha uamuzi wa mahakama ya juu ya Colorado kumuondoa Trump katika karatasi la upigaji kura
Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump anaweza kujua leo ikiwa Mahakama ya Juu itamruhusu kushiriki katika uchaguzi mwaka 2024, wakati ambapo mgombea huyo mkuu wa chama cha Republican akiwa anakaribia katika uteuzi wa chama chake.
Miongoni mwa vipengele katika mswaada huo ni fedha muhimu za kukabiliana na China katika Pasifiki
Yingluck alishutumiwa kwa kutoendesha mchakato sahihi wa zabuni katika Roadshow to Build the Future of Thailand
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy ametoa wito kwa mataifa ya magharibi kutoa msaada uliocheleweshwa kwa Ukraine
Makamu Rais ataelezea wasiwasi wake juu ya usalama wa watu milioni 1.5 huko Rafah
Rais wa Marekani Joe Biden, na rais wa zamani Donald Trump walishinda katika uchaguzi wa awali wa vyama vyao kwenye jimbo la Michigan Jumanne.
Mamlaka nchini Marekani zinasema wana imani kuwa wataweza kukabiliana na vitisho vyoyote vya usalama kuelekea uchaguzi wa rais mwezi Novemba.
Kiwango cha ushindi kitaangaliwa kwa karibu kama ishara za kuungwa mkono kwa wagombea wawili katika jimbo hilo muhimu
Miongoni mwa viongozi watakaohudhuria ni Chuck Schumer, Mitch McConnell, Mike Johnson na Hakeem Jeffries
Orlov mwenye miaka 70 amehudumu zaidi ya miongo miwili katika kundi la haki za binadamu la Memorial
Pandisha zaidi