Serikali ya Haiti iliomba rasmi msaada wa usalama kutoka kwa nchi zote kote duniani, zaidi ya mwaka mmoja uliopita.
Shambulio katika jimbo la Kaduna lilikuwa la pili la utekaji nyara wa watu wengi kwa kipindi cha wiki moja huko Nigeria
IFRC ilitoa ombi la dharura la dola milioni 57 kuwasaidia kwa haraka watu 500,000 waliokuwa hatarini kukoseshwa makazi
Mkuu wa Tume ya Misaada wa Umoja wa Mataifa nchini Afghanistan alitoa tena wito kwa utawala wa ki-imla kubadili vikwazo hivyo
Von der Leyen alisema ukanda huo ulikaribia kufunguliwa na unaweza kuanza kufanya kazi Jumapili au mapema Jumamosi
Rais wa Marekani, Joe Biden atatoa hotuba ya Hali ya Kitaifa leo Alhmisi, ambapo anatarajiwa kuzungumzia jinsi alivyoshughulikia uchumi, haki za uzazi, uhamiaji, na vita vya Ukraine na Gaza.
Rais wa Marekani Joe Biden atatoa hotuba yake ya hali ya kitaifa kwenye kikao cha pamoja bunge Alhamisi usiku atajaribu kuelezea mafanikio ya utawala wake, na kuwashinikiza wabunge kuchukua hatua juu ya msaada wa usalama na kuwashawishi wapiga kura kabla ya uchaguzi wa Novemba.
Darzeni ya wanaharakati wanawake kutoka nchi tofauti walipewa tuzo za International Women of Courage kwa harakati zao katika kutetea haki za binadamu na wanawake.
Majaji kwa kauli moja walibatilisha uamuzi wa mahakama ya juu ya Colorado kumuondoa Trump katika karatasi la upigaji kura
Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump anaweza kujua leo ikiwa Mahakama ya Juu itamruhusu kushiriki katika uchaguzi mwaka 2024, wakati ambapo mgombea huyo mkuu wa chama cha Republican akiwa anakaribia katika uteuzi wa chama chake.
Miongoni mwa vipengele katika mswaada huo ni fedha muhimu za kukabiliana na China katika Pasifiki
Yingluck alishutumiwa kwa kutoendesha mchakato sahihi wa zabuni katika Roadshow to Build the Future of Thailand
Pandisha zaidi