Maafisa wanaoratibu hali ya kibinadamu Syria wanakadiria watu milioni 16.7 wanahitaji misaada ya kibinadamu
Sonko na Bassirou Diomaye Faye waliachiwa huru Alhamisi chini ya sheria ya msamaha iliyopendekezwa na Sall
Waziri Mkuu wa Pakistan Shehbaz Sharif amelaani shambulizi hilo kuwa ni kitendo cha kihuni cha magaidi
Ni jaribio la karibuni katika mapambano ya makombora ya masafa marefu na ufyatuaji roketi katika vita vya Russia kwa Ukraine
Moto uliteketeza kila kitu kilichokuwa ndani ya studio na kusambaa hadi kwenye majengo jirani
Waziri Mkuu wa Israel anatarajiwa kuitisha mkutano wa baraza la mawaziri la usalama kabla ya mazungumzo hayo
China siku ya Alhamisi ilisema Baraza la Wawakilishi la Marekani kuidhinishwa mswaada ambao utailazimisha TikTok kuvunja uhusiano na kampuni mama ya China au kupigwa marufuku nchini Marekani kunafuata mantiki ya kijambazi.
Vifaa vya kijeshi vya Uturuki, miradi ya maendeleo na miundombinu ya Morocco na Iran inazivutia serikali za kijeshi za Sahel
Wakati huo huo mashambulizi ya anga ya jeshi la Ukraine siku ya Jumanne yaliulenga mji mkuu wa Russia
USCIRF imesema ujumbe ulikuwa ukitembelea Diriyah mji wa kihistoria ambao ni eneo la Urithi wa Dunia la UNESCO
Israel pia iliripoti Jumanne kufanya mashambulizi mapya ya anga katika eneo la Khan Younis kusini mwa Gaza
Wakati wapiga kura wa Marekani wanajitayarisha kwa duru nyingine ya chaguzi za awali siku ya Jumanne, Rais wa Marekani, Joe Biden na mpinzani wake wa kisiasa Mrepublican Donald Trump walisafiri mwishoni mwa wiki kwenda kwenye majimbo ambayo matokeo yanaweza kwenda upande wowote.
Pandisha zaidi