Radio
21:00 - 21:29
Utata kuhusu nafasi ya katibu mkuu wa jumuiya ya Afrika mashariki. Kenya imemteua Peter Mathuki kuwa balozi nchini Russia
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.