Radio
06:00 - 06:29
Maswali yaendelea kuulizwa miaka 30 baada ya mauaji ya kimbari kufanyika Rwanda
Baadhi ya viongozi wa nchi na serikali waliohudhuria kumbukumbu ya mauaji ya kimbari dhidi ya Watutsi wa Rwanda miaka 30 iliyopita wamesema hadi sasa, licha ya kubainika kuwa ulimwengu ulishindwa kuzuia mauaji hayo, bado dunia haijajifunza kutokana na kilichotokea wakati huo.
16:30 - 17:00
19:30 - 19:59
Wafanyabiashara nchini Uganda wameandamana kupinga ongezeko la kodi na sera ya kodi isiyo ya haki katika nakala za fedha za kielektronik
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.