Radio
19:30 - 19:59
Madaktari wa Kenya wameapa kuendelea na mgomo wao hadi pale serikali itakapotimiza matakwa yao.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.