Radio
06:00 - 06:30
Walinda amani wanane wa Umoja wa mataifa wafariki katika ajali ya ndege mashariki mwa DRC.
Msemaji wa Umoja wa mataifa amesema Jumanne kwamba hakuna aliyenusurika wakati helikopta ya tume ya Umoja wa mataifa nchini DRC (MONUSCO) ilipofanya ajali mashariki mwa nchi hiyo ikiwa na walinda amani wanane wa Umoja wa mataifa.
16:30 - 16:59
19:30 - 19:59
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan apokea ripoti ya mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serekali.
Wananchi wa Tanzania wataka uwajibikaji zaidi kwa taasisi za serekali ambazo mara kwa mara ripoti ya CAG huzionyesha kuwa na hati chafu. Viongozi wa Marekani, Uingereza, Ujerumani na Italy, wametoa wito kwa mataifa ya magharibi kutolegeza msimamo wake dhidi ya Russia.