Radio
16:30 - 16:59
Kenya yaadhimisha miaka 59 tangu kupata Madaraka ya kuwa na utawala wa ndani, ikiwa sherehe ya mwisho chini ya utawa wa Kenyatta.
Maadhimisho hayo yaliongozwa na rais Uhuru Kenyatta na kuhudhuriwa na takriban watu 30,000 kwenye bustani ya Uhuru wakiwemo viongozi wa ngazi za juu, bila kuwepo kwa naibu rais William Ruto ambaye ofisi yake ilisema hakualikwa.
19:30 - 20:00
MATANGAZO YA JIONI: Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta asifu utawala wake katika hotuba ya kuadhimisha siku ya Madaraka
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.