Radio
16:30 - 16:59
Wakaguzi wa nyuklia wa UN kuanza kazi yao katika kinu cha nyuklia Ukraine
Wakaguzi wa nyuklia wa Umoja wa Mataifa wameanza kazi yao Alhamisi katika kinu cha nyuklia cha Zaporizhzhia cha Ukraine, kutathmini masuala ya Ulinzi na usalama huku kukiwa na wasiwasi wa kimataifa kwamba mapigano katika eneo hilo yanaweza kuhatarisha kituo hicho.
21:00 - 21:29
Juhudi za kutatua changamoto za kibiashara na kisiasa kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki
Wachumi na wataalam wa mifumo ya kisiasa wanaangazia masuala ambayo yameendelea kuwa changamoto kwa mstakabal wa kiuchumi na kisiasa kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na jinsi zinavyoweza kutatuliwa.