Wakazi hao wanadai kwamba boti za kisasa na salama zinahitajika kwenye usafiri kwenye ziwa Tanganyika ili kuzuia ajali za boti za mara kwa mara.
Mahakama ya juu nchini Kenya imekubaliana na maamuzi ya tume ya uchaguzi na mipaka IEBC kuwa ushindi wa William Ruto katika uchaguzi wa rais hapo Agosti 9 ulikuwa halali, na kumaliza wiki kadhaa za hali kutokuwa na uhakika wa kisiasa.
Rais mteule wa Kenya William Ruto Jumatatu ameahidi kushirikiana na wapinzani wake baada ya mahakama ya juu ya nchi hiyo kuhalalisha ushindi wake katika uchaguzi wa rais wa Agosti 9, kufuatia mpambano wa kisheria na mpinzani wake Raila Odinga.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.