Radio
Mhitimu wa YALI Gloria Anderson ashinda tuzo ya Africa Evidence Leadership
Tuzo ya Africa Evidence Leadership inatolewa kila mwaka kwa watafiti na viongozi na wadau wanaofanya kazi zenye mrengo wa kupelekea maendeleo barani Afrika. Mwaka huu mshindi wa tuzo hiyo ametoka nchini Tanzania kwa mara ya kwanza akieleza na kuwahimiza vijana wenzake kufanya kazi za utafiti.
Mjadala kuhusu mkutano wa 77 wa baraza kuu la Umoja wa Mataifa.
Mkutano mkuu wa 77 wa baraza kuu la Umoja wa Mataifa umefanyika wiki hii ambapo viongozi wa dunia wamezeungumzia masuala yanayo usumbua ulimwengu kwa sasa. Mjadala unajikita katika kuangazia kama masuala muhimu ya Afrika yamepewa nafasi ya kutosha.
Kwa Undani: Maoni ya waandishi kuhusu hotuba za viongozi wa Afrika Mashariki na rais Biden UN na mswaada wa bima ya afya Tanzania
Waandishi wameeleza kuhusu hotuba za viongozi wa Afrika mashariki na rais Biden UN, mswaada wa bima ya afya kwa wote Tanzania na Wabunge wapya nchini Kenya, watishia kuivunja Tume ya kuratibu Mishahara ya Umma, SRC