Radio
16:30 - 16:59
Vijana Kenya waeleza matumaini yao kwa Gavana mpya wa Mombasa
Sherehe za kuapishwa kwa Gavana mteule wa Mombasa Abdulswamad Nassir na naibu wake Francis Thoya zimefanyika katika bustani ya Mama Ngina Waterfront Mombasa Kenya. Watu kadhaa mashuhuri walihudhuria hafla hiyo huku vijana wa Mombasa kaunty wakionyesha matumaini yao kwa gavana mteule.
21:00 - 21:29