Radio
06:00 - 06:29
Viongozi wa dunia waendelea kutoa rambirambi zao kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth II
Rais wa Marekani Joe Biden alikuwa kati ya viongozi wa kwanza wa kimataifa kutuma risala za rambirambi kwa serikali na watu wa Uingereza kufuatia kifo cha Malkia wao, Elizabeth II kilichotokea Alhamisi akiwa na umri wa miaka 96
16:30 - 16:59
Shirikisho la soka Kenya limeiandikia barua shirikisho la soka Duniani (FIFA) kuomba kuondolewa marufuku iliyowekewa Kenya kushiriki FIFA
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.
19:30 - 20:29
21:00 - 21:29